Style ya muziki wanaoufanya imewafanya kupanda mashabiki wa umri tofauti,Yamoto Band wametuletea video yao mpya hii inaitwa Nitakupwelepweta,imeongozwa na Adam Juma. Bonyeza play kutazama
The post Mabibi na Mabwana,Yamoto Band wanakualika kutazama video yao mpya #Nitakupwelepweta appeared first on TZA_MillardAyo.