Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

U heard ya leo Jan 27, msanii Shilole amezungumzia ishu ya kumpiga Nuh Mziwanda.

$
0
0

Kama hukusikiliza U heard ya leo January 27, inahusu ishu inayosemekana kuwa msanii Shilole alimpiga mpenzi wake mwanamziki Nuh Mziwanda katika tamasha lililofanyika hivi karibuni na kupelekea watu mbalimbali waliokuwa eneo hilo kuamulia ugomvi huo. Soudy Brown alipiga story na Shilole ambae amesema kuwa halikuwa swala kubwa kiasi hicho ila watu wamelikuza kwani walikwazana kidogo kimapenzi,...

The post U heard ya leo Jan 27, msanii Shilole amezungumzia ishu ya kumpiga Nuh Mziwanda. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles