Matukio ya wanawake kukata tamaa ya kuolewa kwa miaka ya sasa yameanza kuonekana ni ‘fashion’ huku wengi wakiona ni jambo la kawaida kuishi maisha ya peke yao. Yasmin Eleby mwenyeji wa Houston, Marekani ameamua kufunga ndoa ya peke yake baada ya kufikisha miaka 40 bila kuona dalili yoyote ya kuolewa. Eleby aliamua kufanya siku yake...
The post Mwanamke afikisha miaka 40 bila ndoa..hiki ndicho alichoamua! appeared first on TZA_MillardAyo.