Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hapa kuna Hekaheka iliyosikika kwenye Leo Tena @CloudsFM leo Jan 21, unaweza kuisikiliza (Audio)

$
0
0

millardayo.com hukuwekea Hekaheka za siku ili kama ulipitwa wakati ikiwa inaruka hewani kwenye Leo Tena ya Clouds FM, ukiingia hapa basi unapata nafasi ya kuisikiliza yote. Ya leo January 21 inatoka Vingunguti Dar, mwanamke mmoja aliolewa na baadaye kuanza tabia ya kutomheshimu mume wake, siku moja alitoka na kurudi saa nne usiku akisema kuwa ametoka...

The post Hapa kuna Hekaheka iliyosikika kwenye Leo Tena @CloudsFM leo Jan 21, unaweza kuisikiliza (Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461