Tunafahamu kuwa Mike T na Juma Nature ni wasanii wa kitambo sana sasa good time ninayotaka kukusogezea ni kwamba muda si mrefu wataachia single mpya iitwayo Uliniona Sina Maana iliyotayarishwa na producer G-Kifaa. Kaa tayari kwa ujio huo mpya wa single yao. Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati...
The post Ni time ya kuiona hii kava inayoikaribisha single mpya ya Mike T na Juma Nature appeared first on TZA_MillardAyo.