Sio Bongo tu kumbe mpaka ulaya. Angalia wezi walivyolifanya gari la Robert...
Usiku wa kuamkia Jumatatu wezi wanaodhaniwa kuwa mashabiki wa klabu ya Borrusia Dortmund wamemfanyia kitu mbaya mshambuliaji klabu hiyo Robert Lewandoski baada ya kuifanya gari la mshambuliaji huyo...
View ArticleYajue hapa mambo yanahusiana na February 11 pamoja na mengine.
Siku kama ya leo miaka 32 iliyopita alizaliwa Kelly Rowland ambaye aliwahi kuja Tanzania na kufika hadi Uwanja wa fisi. Kelly alikuja kwa ajili ya kampeni ya Staying Alive Foundation ambapo alikuwa...
View ArticleNa hiki ndicho kitu kinachofuata kutoka kwa Diamond Platnumz
Diamond aliwahi kusikika akizungumzia kuhusu kuja kwa nguo zake ambazo zitakuwa na brand ya WCB na kuuzwa kwenye maduka mbalimbali. Mwaka jana Diamond alikaa China zaidi ya wiki nzima kabla ya kufanya...
View ArticleHizi status za Masanja,Mpoki,Diamond na Quick Rocka kwenye mitandao ya kijamii.
Hizi zimetoka kwenye account za mitandao ya kijamii ya Quick Rocka,Masanja Mkandamizaji,Diamond na Mpoki. Â Â Use Facebook to Comment on this Post
View ArticleKuhusu mtoto aliyebakwa sikiliza hapa kilichomtokea kupitia Hekaheka ya leo.
Matukio ya kuonewa na kufanyiwa vitendo vya kikatili kwa watoto bado yanaendelea kupitia Hekaheka za leo,kuna taarifa ya mtoto kubwakwa kisha polisi kutoa taarifa ambazo zimewachanganya Madokta...
View ArticleSikiliza alichokijibu Diva kuhusu mahusiano yao kati yake na King Crazy Gk.
Kama uliisikiliza You heard ya jana huu ni muendelezo wake ambapo kwa leo upande wa pili umeongea kwa sababu jana haukupatikana na upande wa pili ni Diva kaweka wazi mahusiano waliyonayo kwa sasa kati...
View ArticleUmeisoma hii? Shabiki apoteza maisha Kenya kisa ushindi wa Liverpool dhidi ya...
Mwanaume mmoja raia wa Kenya anayeshabikia klabu ya soka ya Uingereza ya Liverpool amedungwa kisu na mwenzake wa klabu ya Arsenal na kufariki dunia katika eneo la Meru Mashariki mwa Kenya. Kwa mujibu...
View ArticleHivi ndivyo hali ilivyo ndani ya Jiji la Mwanza.
Bado tunaendelea kupokea picha na taarifa mbalimbali juu ya Wafanyabiashara wa mikoa mbali mbali walivyoamua kusitisha kutoa huduma sababu kubwa ikiwa ni kugomea mashine za Efd,baada ya Dar es salaam...
View ArticleMechi ya Fulham vs Liverpool hatihati kutofanyika, kisa kiko hapa
Mechi ya ligi kuu ya England kati ya Fulham na Liverpool siku ya Jumatano, huenda ikahairishwa ikiwa mgomo wa wafanyakazi wa treni mjini London utaendelea kama ulivyopangwa. Wafanyakazi hao wa treni...
View ArticleMchezaji huyu wa Bayern Munich kuukosa mchezo dhidi ya Arsenal
Zikiwa zimebaki siku kadhaa kabla ya raundi ya kwanza ya mechi za mtoano wa ligi ya mabingwa wa ulaya, mabingwa watetezi Bayern Munich wamethibitisha kwamba mchezaji wao tegemeo Frank Ribery ataukosa...
View ArticleKuhusu kunusurika kuchomwa moto makao makuu ya Chadema Dar es salaam.
Usiku wa kuamkia February 11 makao makuu ya Chama cha Demokrasia na Maendelea Chadema yaliyopo jijini Dar es salaam yamenusurika kuteketea kwa moto baada ya watu wasiojulikana kufanya jaribio la...
View ArticleSikiliza hapa Wimbo mpya wa Ben Pol Unanichora.
Huu ni wimbo mpya wa Ben Pol ambao ndiyo wimbo wa kwanza kuuachia rasmi kwa mwaka 2014,audio imefanywa na Fundi Samwel na ndani yake kashirikishwa Mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa...
View ArticleMsikilize Mbwiga leo February 11.
Siwezi kukusahau mtu wangu wa nguvu unaefatilia mtekenyo huu wa Mbwiga wa Mbwiguke ukupite hivi hivi,leo mbwiga kazungumzia zile timu ambazo zinawatoa wachezaji wake halafu baadae zinawasajiri tena na...
View ArticleNimekuletea video ya magoli yote ya Chelsea vs Westbrom na matokeo mengine ya...
Ni game nyingine ambayo ilitazamwa na wengi usiku wa February 11 2014 ambapo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Ivanovic ambapo mpaka game inakwisha ilikua West Brom 1-1...
View ArticleMtazame Ronaldo akifunga magoli mawili kuipeleka Madrid fainali Copa Del Rey
Cristiano alifunga mabao mawili kwa mikwaju ya penati na kuiwezesha timu yake kushinda kwa mabao mawili dhidi ya Atletico Madrid ambapo kwenye game ya kwanza ya hawa mahasimu iliisha kwa Madrid...
View ArticleHiki ndicho walichokisema Madee na Nuh Mziwanda juu ya uhusiano wao na Shilole.
Kuna stori ziliwahi kutoka kuwa Shilole ana mahusiano ya kimapenzi na Nuh Mziwanda,sasa Madee nae kazungumza kitu na hii ni baada ya kusemekana kuwa Shilole kamuacha Nuh Mziwanda kwenda kwenye Show...
View ArticleBaada ya migomo ya Wafanyabiashara na zile mashine, hili ndilo tamko la TRA.
Kufuatia migomo inayoendelea kwa Wafanyabiashara wa Mikoa mbali mbali ya Tanzania,Mamlaka ya Mapato Tanzania leo wametoa tamko lao juu ya hali hii ambayo kiukweli inawanyima huduma wananchi wa mikoa...
View ArticleHuu ni muendelezo wa Hekaheka kuhusu yule mtoto aliyebakwa.
Hii ilianza jana February 11 kama uliimis ipo hapa hapa on millardayo.com ni kuhusu mtoto aliyebakwa kutoka taarifa ambazo zina utata na mchanganyiko unaowachanganya ndugu sikiliza kupitia 88.5 Clouds...
View Article#Bongofleva >> video mpya ya msanii alie kwenye mwamvuli mmoja na Snura.
Huyu ni miongoni mwa wasanii walio chini ya management iliyokuwa inamsimamia Marehemu Sharo Milionea na sasa inamsimamia Snura, anaitwa Y tonny ambapo hii ni single yake ya pili baada ya ile ya...
View ArticlePamoja na hali mbaya uwanjani, unaijua rekodi mpya ya mapato Man United?
Manchester United imeripoti taarifa ya kuongezeka kwa mapato ya klabu hiyo kwa 11.6% kwa awamu ya pili ya mwaka wa kifedha wa klabu hiyo. Mabingwa hao wa Barclays Premier League wamesema mapato yao...
View Article