Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Na hiki ndicho kitu kinachofuata kutoka kwa Diamond Platnumz

$
0
0
Diamond aliwahi kusikika akizungumzia kuhusu kuja kwa nguo zake ambazo zitakuwa na brand ya WCB na kuuzwa kwenye maduka mbalimbali. Mwaka jana Diamond alikaa China zaidi ya wiki nzima kabla ya kufanya show ambapo moja ya mipango iliyomuweka ni kufanya maandalizi ya nguo hizo. Muda wa kuzitoa unaonekana umekaribia kutokana na teaser aliyoitoa kupitia account...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles