Siku kama ya leo miaka 32 iliyopita alizaliwa Kelly Rowland ambaye aliwahi kuja Tanzania na kufika hadi Uwanja wa fisi. Kelly alikuja kwa ajili ya kampeni ya Staying Alive Foundation ambapo alikuwa balozi wa MTV AIDS Awareness. Leo pia ni siku ambayo hayati Nelson Mandela aliachiwa huru kutoka kwenye gereza baada ya kuwa mfungwa hadi...
↧