Mechi ya ligi kuu ya England kati ya Fulham na Liverpool siku ya Jumatano, huenda ikahairishwa ikiwa mgomo wa wafanyakazi wa treni mjini London utaendelea kama ulivyopangwa. Wafanyakazi hao wa treni wanatarajiwa kuanza mgomo wa saa 48 kuanzia leo, hali ambayo inaweza kutatiza shughuli za usafiri kama ilivyokuwa wiki iliyopita mjini humo. Wasimamizi wa Fulham...
↧