Huu ni wimbo mpya wa Ben Pol ambao ndiyo wimbo wa kwanza kuuachia rasmi kwa mwaka 2014,audio imefanywa na Fundi Samwel na ndani yake kashirikishwa Mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa Unanichora. Taarifa za wimbo huu,Ben Pol amesema mwanzoni ulikua na dakika 7 lakini kwa radio waliona isingewezekana kupigwa dakika hizo zote hivyo wakaona...
↧