Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live
↧

Umeona alichoandika kipa wa Arsenal baada ya kufungwa 5-1 na Liverpool jana?

Muda mfupi baada ya mchezo wa jana wa ligi kuu ya England kati ya Arsenal na Liverpool ambao uliisha kwa matokeo ya Liverpool kuichapa Arsenal 5-1, kipa wa klabu ya Arsenal Wojciech Szczesny alitumia...

View Article


Kauli ya Malinzi kuhusu rundo la madeni ya TFF waliyorithi kutoka kwa Tenga

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema changamoto kubwa linaloikabili sasa ni madeni ya mamilioni ya fedha waliyoyarithi kutoka uongozi uliopita wa Rais, Leodegar Tenga. Akizungumza na Mwanaspoti...

View Article


Alipoulizwa Moyes kuhusu kumpa Rooney unahodha wa Man United

Baada ya nahodha wa sasa wa klabu ya Manchester United Nemanja Vidic kutangaza kwamba ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu, kumekuwepo na mjadala katika vyombo vya habari kuhusu mchezaji...

View Article

Yani toka jana kuna watu hawaiachi Arsenal, wamesambaza na hizi picha na...

Yani zile goli 5 walizofungwa Arsenal jana zimesababisha jina la timu hii litajwe na kuandikwa mara nyingi sana kwenye mitandao ya kijamii ikiwa ni pamoja na kuambatanishwa na pichaz zikiwemo hizi. Use...

View Article

Kwenye hii, Jay Z ndio cameraman alafu Beyonce kajitosa

Yani nguvu ya uhusiano wao na nguvu ya ustaa wao sasa hivi wakifanya chochote au kuonekana popote lazima tu waandishi watawaandika. Mfano ni baada ya Beyonce kupost hii video ambayo Jay Z ndio...

View Article


Matokeo ya Simba v/s Mgambo Shooting haya hapa.

Mechi kati ya Simba na Mgambo Shooting imekamilika kwa ushindi wa goli 1-0 jioni ya leo mbele ya Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani 96.0 Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kwa...

View Article

VIDEO: Mario Balotelli alipotokwa na machozi baada ya kipigo kutoka kwa Napoli

Mario Balotelli alionekana akitokwa na machozi jana usiku katika mchezo wa ligi kuu ya Italia kati ya timu yak AC Milan dhidi ya Napoli, hali ilitokea baada ya kutolewa uwanjani zikiwa zimebakia dakika...

View Article

Chukua nafasi hii kuangalia mabao yote ya mchezo wa Man United vs Fulham

Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Kama ulipitwa na mechi, haya hapa mabao ya mchezo wa Real Madrid vs Villareal

Use Facebook to Comment on this Post

View Article


Angalia video ya mabao ya mchezo wa FC Barcelona vs Sevilla

Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Ripoti na matokeo ya mchezo wa Azam FC vs Ferroviaro haya hapa

IKICHEZAĀ mchezoĀ waĀ kimataifaĀ kwenyeĀ uwanjaĀ wakeĀ waĀ nyumbaniĀ kwaĀ maraĀ yaĀ kwanzaĀ katikaĀ historiaĀ yakeĀ AzamFCĀ leoĀ imepataĀ ushindiĀ waĀ baoĀ 1-0Ā dhidiĀ yaĀ FerroviarioĀ deĀ BeiraĀ yaĀ MsumbijiĀ katikaĀ mchezoĀ wa...

View Article

Kutoka Club Bilicanas, baadhi ya pichaz za usiku wa Weusi

Ni show ambayo imehudhuriwa na wabongo kutoka area tofautitofauti za Dar es salaam pamoja na mastaa kadhaa wakiwemo Mwana FA, Izzo B, Jux, Adam Mchomvu, Ay na wengine ambao utawaona kwenye video za...

View Article

Mabibi na mabwana, ninayofuraha kuwakutanisha na picha za vituo vya mabasi...

Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa. Ni...

View Article


Hiki ndicho kinachoendelea kwa Diva na Crazy Gk,sikiliza kupitia You heard ya...

Hizi ni story za mastar mbalimbali ambazo zinakua ni Gosip,hii ya leo inawahusu King Crazy Gk toka East Coast Team na Diva sikiliza ni kitu gani kinawahusu kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza. Bonyeza play...

View Article

Umesikia kuhusu mke anayesemekana kumloga mume wake,sikiliza kupitia Hekaheka...

Mitaa inakua na vingi vya kuongea hasa linapokuja suala la Hekaheka,sikiliza namna ndugu upande wa mume unavyomchukulia Mke wa kaka yao kuwa mchawi,mengi yamezungumzwa zitumie hizi dakika 14...

View Article


Hii ndiyo hali halisi ya Soko la Kariakoo leo February 10.

Inawezekana Wafanyabiashara wa Tanzania wameamua kuzigomea kabisa hizi mashine za Tra ambazo wanadai bado zina mgogoro mkubwa kwenye biashara yao na leo wafanyabiasha hao wameamuakutofungua tena maduka...

View Article

Baada ya Migomo ya Wafanyabiashara,huyu ndiye kiongozi wao aliyepokea vitisho.

Suala la wafanyabiashara wa Tanzania bado limeonekana ni zito kuhusu madai yao kwa Serikali ya Tanzania juu ya mashine za Efd kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania[Tra],kupitia kipaza sauti cha...

View Article


Msikilize Mbwiga leo February 10.

Moja kati ya ratiba za millardayo.com ni kukuweka karibu na baadhi ya vitu ambavyo kwa bahati mbaya huwa unavikosa kusikiliza labda kutokana na kazi au kuwa mbali na Redio,utumie muda wako mchache...

View Article

Ushaskia hii kutoka kwa A.Y

Producer wake ni Marco Chali kutoka studio za MJ Records, wimbo unaitwa Asante na ndio wa kwanza kutoka kwa A.Y ndani ya mwaka 2014. Use Facebook to Comment on this Post

View Article

Picha wakati Cristiano Ronaldo alivyosherehekea siku yake za kuzaliwa

Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo jana alifanya sherehe ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa jijini Madrid. Ronaldo ametimiza miaka 29. Ronaldo alifanya sherehe hiyo huku akiwa...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live