Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Kutoka Club Bilicanas, baadhi ya pichaz za usiku wa Weusi

$
0
0
Ni show ambayo imehudhuriwa na wabongo kutoka area tofautitofauti za Dar es salaam pamoja na mastaa kadhaa wakiwemo Mwana FA, Izzo B, Jux, Adam Mchomvu, Ay na wengine ambao utawaona kwenye video za AyoTV zitakazowekwa hapa soon. Director Nisher ambae ndio ameifanya video ya ‘nje ya box’ nae alipata nafasi ya kutokea stage na kutoa...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles