Baada ya nahodha wa sasa wa klabu ya Manchester United Nemanja Vidic kutangaza kwamba ataondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu, kumekuwepo na mjadala katika vyombo vya habari kuhusu mchezaji gani anayefaa kuirithi nafasi yake ndani ya klabu hiyo. Mmoja wa wachezaji anayepewa nafasi kubwa ni mshambuliaji wa klabu hiyo Wayne Rooney ambapo kwenye...
↧