Mechi kati ya Simba na Mgambo Shooting imekamilika kwa ushindi wa goli 1-0 jioni ya leo mbele ya Mgambo Shooting Uwanja wa Mkwakwani 96.0 Tanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Kwa matokeo ya leo Simba imebaki na pointi zake 31 baada ya kucheza mechi 17 mpaka sasa wakati Mgambo imetimiza pointi...
↧