Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Umeona alichoandika kipa wa Arsenal baada ya kufungwa 5-1 na Liverpool jana?

$
0
0
Muda mfupi baada ya mchezo wa jana wa ligi kuu ya England kati ya Arsenal na Liverpool ambao uliisha kwa matokeo ya Liverpool kuichapa Arsenal 5-1, kipa wa klabu ya Arsenal Wojciech Szczesny alitumia akaunti yake ya mtandao wa kijamii kuwaomba msamaha mashabiki wa timu hiyo kwa kipigo hicho. Aliandika: “Ilikuwa ni aibu kubwa, samahani...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles