Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Hiki ndicho walichokisema Madee na Nuh Mziwanda juu ya uhusiano wao na Shilole.

$
0
0
Kuna stori ziliwahi kutoka kuwa Shilole ana mahusiano ya kimapenzi na Nuh Mziwanda,sasa Madee nae kazungumza kitu na hii ni baada ya kusemekana kuwa Shilole kamuacha Nuh Mziwanda kwenda kwenye Show yake Igunga kisa kikiwa ni Madee,Sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma. Bonyeza play kusikiliza. Use Facebook to Comment on this Post

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461