Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mtazame Ronaldo akifunga magoli mawili kuipeleka Madrid fainali Copa Del Rey

$
0
0
Cristiano alifunga mabao mawili kwa mikwaju ya penati na kuiwezesha timu yake kushinda kwa mabao mawili dhidi ya Atletico Madrid ambapo kwenye game ya kwanza ya hawa mahasimu iliisha kwa Madrid kushinda 3-0. Kabla ya kuitazama hii video hapa chini inabidi ufahamu kwamba Real Madrid wamefuzu kucheza fainali ya kombe la Copa Del Rey. Atletico...

Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles