Ni game nyingine ambayo ilitazamwa na wengi usiku wa February 11 2014 ambapo Chelsea ndio walitangulia kupata goli la kwanza kupitia kwa Ivanovic ambapo mpaka game inakwisha ilikua West Brom 1-1 Chelsea. MATOKEO YA MECHI NYINGINE Cardiff City 0-0 Aston Villa West Ham 2-0 Norwich City Hull City 0-1 Southampton Use Facebook to Comment on...
↧