Usiku wa kuamkia Jumatatu wezi wanaodhaniwa kuwa mashabiki wa klabu ya Borrusia Dortmund wamemfanyia kitu mbaya mshambuliaji klabu hiyo Robert Lewandoski baada ya kuifanya gari la mshambuliaji huyo kuwa ‘screpa’ kwa kuiba matairi yote ya gari hiyo. Gari hilo aina ya Porsche Cayenne lilikuwa limepaki nje ya nyumba ya mshambuliaji huyo huko Ujerumani, wezi...
↧