Angalia jinsi Drake alivyobadilishwa sura na kujichanganya mtaani akijifanya...
Msanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka. Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza...
View ArticleIjue ratiba ya movies kwenye theater za bongo kuanzia tarehe 11/4 hadi 17/4
Wapenzi wa movie za animation huu ni wakati wenu kwasababu Rio 2 imetoka na imeanza kuonyeshwa kwenye theater za hapa Tz tarehe 11/4/2014. Zaidi ya Rio 2 kuna movie kama Noah,The Single Moms club...
View ArticleSamwel Sitta baada ya bunge kuahirishwa ghafla leo, MCT kuhusu TBC je?
Leo kikao cha bunge maalum la katiba kimeshindwa kuendelea baada ya kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni ya Taifa na kulalamikiwa na wajumbe kundi la wachache wanaotaka serikali...
View ArticleVideo mpya ya Queen Darleen ‘wanatetemeka’ Diamond, Shilole na wengine ndani
Hii ni video iliyowahusisha Diamond Platnumz na dada yake wa damu Queen Darlin ambapo sasa imeachiwa kwa Watanzania, bonyeza play hapa chini kuitazama. Use Facebook to Comment on this Post The post...
View ArticleVideo ya dakika 1 na sekunde 28 ya Ray C studio akirekodi wimbo mpya
Ni kitambo toka Ray C kuonekana kwenye muziki mpya baada ya ukimya wa muda mrefu uliotokana pia na utumiaji wa dawa za kulevya ambao anakiri ulimrudisha sana nyumba kimaisha. Legendary Music-Tanzania...
View ArticlePicha tatu za Jux akifanya video ya ‘nitasubiri’ huko China
Msanii Jux wa bongofleva kabla hajaondoka kwenda China safari hii, alisema atautumia muda wake akiwa huko kushoot video ya wimbo wake mpya “nitasubiri” ambao wiki kadhaa zilizopita alikiri kwamba wimbo...
View ArticleTaarifa ya Polisi kuhusu idadi ya waliofariki Dar kutokana na hizi mvua.
Kutokana na mvua zinazonyesha hivi sasa kwenye jiji la Dar es salaam pamoja na kusababisha mambo mengi kusimama, miundombinu kuharibika hasa madaraja yanayounganisha njia kuu, pia zimesababisha vifo...
View ArticlePichaz nyingine za mafuriko yaliyotokea April 12 Jangwani Dar na kwengine.
Hii ndiyo hali halisi iliyopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam baada ya mvua iliyonyesha siku nzima yas leo April 12,millardayo.com imepita baadhi ya maeneo kama ya Kigogo,Barabara ya...
View ArticleMatokeo ya Wigan vs Arsenal na video ya magoli.
Ni game ya FA Cup ambapo April 12 2014 ambayo imewapa nafasi Arsenal kufika fainali baada ya kutoka droo kwenye goli walilosawazisha kwenye kipindi cha pili huku matokeo yakiwa 1-1. Use Facebook to...
View ArticleNi magari mangapi yameingizwa Tanzania toka 2008? Watanzania wananunua...
Dar es salaam ndio mji unaoongoza kwa foleni ya magari Tanzania ambapo wakati mwingine unaweza kukaa kwenye foleni kwa muda mrefu mpaka anaesafiri kwa ndege ya Fastjet kutoka Dar mpaka Zambia (dakika...
View ArticlePicha za Makamu wa Rais, Mkuu wa mkoa na Kamanda Kova baada ya ajali ya...
Asubuhi April 13 2014 makamu wa Rais Dr. Mohammed Gharib Bilal, mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Said Mecky Sadick na Kamanda wa polisi kanda maalum ya Dsm Suleiman Kova walipata ajali ya Helikopta...
View ArticleBreaking: Kuhusu mwanamuziki mkongwe mzee Gurumo kufariki dunia.
Ni mzee wa siku nyingi sana kwenye muziki Tanzania ambae aliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari mara nyingi hasa kutokana na kuugua kwake kuliko mfanya aache hata muziki aliokua anaufanya. Taarifa...
View ArticlePicha nyingine za Helikopta iliyoanguka na makamu wa Rais na kilichofanyika...
Taarifa iliyoifikia millardayo.com kutoka kwa mmoja wa Waliokuwemo kwenye Helikopta hii ya jeshi inasema wakati inapaa kwenye umbali wa kama futi tano hivi kutoka uwanja wa ndege Dar es salaam,...
View ArticleMatokeo ya Liverpool vs Man City April 13 umeyapata? yako hapa
Mechi ilivyoanza tu wachambuzi wa soka waliona kama leo Liverpool itampiga mtu nyingi sana ila mwishoni ndio matokeo yakawa hivi… Liverpool 3 – 2 Manchester City. Use Facebook to Comment on this Post...
View ArticleHatari ya daraja Mbagala lililonyima magari kwenda mikoa ya kusini na ya...
Mvua zinazoendelea kunyesha mikoa tofauti Tanzania bado zimeendelea kuleta madhara ambapo pamoja na taarifa ya Watanzania kadhaa kukosa makazi na wengine kupoteza maisha bado barabara na madaraja...
View ArticleHivi ndivyo hali ilivyo eneo la Jangwani April 13.
Hili ni eneo la Jangwani sehemu ambayo mara kadhaa inaponyesha mvua kubwa hua inakumbwa na mafuriko kwa haraka kutokana na mto ulio eneo hilo,millardayo.com ilipita eneo hilo ili kuangalia...
View ArticleFull Time ya Swansea vs Chelsea April 13 2014.
BA ambae hivi karibuni alisema kuna uwezekano akaondoka Chelsea mwishoni mwa msimu kutokana na kutomridhisha Mourinho, ndio kafunga goli pekee la Chelsea leo. Use Facebook to Comment on this Post The...
View ArticleBreaking: Kuhusu bomu lililolipuka usiku huu Arusha
Taarifa kutoka kwa Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati watu wakitazama mpira. Watu wa maeneo ya...
View ArticlePicha 11 kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Gurumo Dar usiku huu.
Maandalizi ya maziko ya Mwanamuziki Mkongwe Muhidin Gurumo aliefariki saa nane mchana kwenye hospitali ya taifa Muhimbili bado yanafanywa ambapo millardayo.com imefika nyumbani kwa marehemu usiku huu...
View ArticleBREAKING: Mkuu wa mkoa kuhusu bomu lililolipuka Arusha April 13 usiku, idadi...
Usiku wa April 13 2014 kwenye baa iitwayo ‘Arusha night park’ iliyopo Mianzini Arusha ambayo siku zote ni miongoni mwa sehemu zinazokua na mkusanyiko wa watu wengi kuanzia jioni, limerushwa bomu wakati...
View Article