Hii ndiyo hali halisi iliyopo katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam baada ya mvua iliyonyesha siku nzima yas leo April 12,millardayo.com imepita baadhi ya maeneo kama ya Kigogo,Barabara ya ubungo X-ternal,Daraja la matumbi linalounganisha Buguruni na Ubungo. Sehemu nyingine ni Jangwani,Sinza Legal na Shule ya msingi Msimbazi,hizi ni picha za hayo maeneo...
The post Pichaz nyingine za mafuriko yaliyotokea April 12 Jangwani Dar na kwengine. appeared first on TZA.