Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Picha nyingine za Helikopta iliyoanguka na makamu wa Rais na kilichofanyika baada ya kuanguka tu.

$
0
0

Taarifa iliyoifikia millardayo.com kutoka kwa mmoja wa Waliokuwemo kwenye Helikopta hii ya jeshi inasema wakati inapaa kwenye umbali wa kama futi tano hivi kutoka uwanja wa ndege Dar es salaam, ilizidiwa na upepo ulioirudisha nyuma na kuangukia paa kabla ya kutua chini. Kilichofanyika ni watu waliokuwemo kutoka nje harakaharaka kisha aliekua akiiendesha kufungua tenki la...

The post Picha nyingine za Helikopta iliyoanguka na makamu wa Rais na kilichofanyika baada ya kuanguka tu. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles