Wapenzi wa movie za animation huu ni wakati wenu kwasababu Rio 2 imetoka na imeanza kuonyeshwa kwenye theater za hapa Tz tarehe 11/4/2014. Zaidi ya Rio 2 kuna movie kama Noah,The Single Moms club kutoka kwa Tyler Perry,Captain America na nyingine nyingi kwenye muda tofauti ambazo unaweza kuchagua na kwenda kuangalia. Use Facebook to Comment...
The post Ijue ratiba ya movies kwenye theater za bongo kuanzia tarehe 11/4 hadi 17/4 appeared first on TZA.