Msanii Drake amebadilishwa sura kwa kubandikwa ndevu za bandia na kuvalishwa wigi ambapo vyote hivyo vimempa muonekano tofauti kabisa na alivyozoeleka. Alichokifanya ni kuingia mitaani na kuwauliza watu maswali kuhusu yeye na baadhi yao wamemuongelea vibaya bila kujua wanaongea na Drake mwenyewe. Angalia hii video hapa chini jinsi mambo yalivyokwenda Unataka kila tukio linalonifikia niwe...
The post Angalia jinsi Drake alivyobadilishwa sura na kujichanganya mtaani akijifanya Mwandishi wa habari appeared first on TZA.