Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Samwel Sitta baada ya bunge kuahirishwa ghafla leo, MCT kuhusu TBC je?

$
0
0

Leo kikao cha bunge maalum la katiba kimeshindwa kuendelea baada ya kukatika kwa matangazo ya moja kwa moja kupitia televisheni ya Taifa na kulalamikiwa na wajumbe kundi la wachache wanaotaka serikali tatu ambapo taarifa yao ya kamati namba nne ndio ilikuwa ikiwasilishwa. Mwenyekiti Samwel Sitta alisema lengo la bunge kuingia mkataba na TBC ni kutaka...

The post Samwel Sitta baada ya bunge kuahirishwa ghafla leo, MCT kuhusu TBC je? appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles