Mvua zinazoendelea kunyesha mikoa tofauti Tanzania bado zimeendelea kuleta madhara ambapo pamoja na taarifa ya Watanzania kadhaa kukosa makazi na wengine kupoteza maisha bado barabara na madaraja vimezidi kubomoka. Hizi picha ni za daraja la mto Mzinga ambalo ndilo linalounganisha Dar na mikoa ya kusini limeanza kumeguka kufuatia mvua iliyonyesha na inayoendelea kunyesha ambapo sasa...
The post Hatari ya daraja Mbagala lililonyima magari kwenda mikoa ya kusini na ya kuingia Dar appeared first on TZA.