Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

T.I.D anatualika kwenye hii. @TIDofficialone

Mara yake ya mwisho kuonekana kwenye stage ya show kubwa Dar es salaam ilikua mwaka 2013 ndio maana tuna kila sababu ya kuungana nae Jumapili hii ya April 13 pale club Bilicanas ili kuona alichokiandaa...

View Article


Kuhusu Ronaldo kukosa fainali ya Copa del Rey

Stori ambayo imethibitishwa na club ya Real Madrid ni kwamba staa wao Cristiano Ronaldo hatocheza kwenye mechi ya fainali ya Copa del Rey Jumatano wiki ijayo kutokana na kujeruhiwa. Kwa mujibu wa...

View Article


Mkusanyiko wa yaliyoandikwa na mastaa wa bongo fB twitter na instagram.

Chukua time yako kutazama/kusoma yaliyoandikwa na mastaa mbalimbali wa Tanzania wakiwemo Wanasiasa na Wasanii wa muziki wa bongofleva. Use Facebook to Comment on this Post The post Mkusanyiko wa...

View Article

Ommy Dimpoz na WEUSI juu ya beat moja?

Kutokana na ile ishu ya wizi wa vitu mbalimbali kwenye gari la Ommy Dimpoz ambao ‘inadaiwa’ ulifanywa na rapper kutoka WEUSI (Lord eyez) labda ulihisi kunaweza kusiwe na uhusiano mzuri kati ya Ommy...

View Article

Hii ikufikie unaetumia muda mwingi wa siku kuketi nyumbani, kwenye gari au...

Ulikua unafahamu kwamba kukaa sana ni mbaya kwa afya yako? unaambiwa binadamu wa kawaida kwa sasa anakaa kwa muda wa saa 8 mpaka saa tisa kila siku akiwa kazini, kwenye gari au nyumbani sebleni....

View Article


Sentensi 12 za alichosema Juma Duni Haji kwenye bunge la katiba leo.

Juma Duni Haji akiwasilisha maoni ya wachache kutoka kwenye kamati namba 11 ambapo alianza kwa kusema >>> ‘hoja za wengi ni muundo serikali ya shirikisho kuua udugu, kwani kabla ya muungano...

View Article

Kwa mnaopenda za Jay Z na Beyonce, hizi ni picha zao 6 za sherehe za miaka 6...

Unaambiwa mastaa hawa walisherehekea miaka yao sita ya ndoa huko Dominican Republic wakiwa na mtoto wao Blue Ivy, kwenye nchi hii ambayo lugha inayotumika ni Kihispania na wanasifika kwa utalii pamoja...

View Article

Hii kali, imetokea kweli wakati huyu mama akihojiwa na TV, mwizi akapita nae

Mitaa mbalimbali nchini Brazil imekua ikitajwa kwa uhalifu kutendeka mara kwa mara hata wakati wa mchana lakini pia vilevile wizi huo umekua ukifanyika hata kwenye maeneo ambayo mgeni yeyote anaweza...

View Article


Baada ya mashambulizi ya kigaidi kuzidi Kenya, haya ni maamuzi mapya ya Serikali

Serikali ya Kenya imetangaza kununua magari yasio penya mabomu wala risasi ili yasaidie kupambana na magaidi na wezi wa mifugo nchini humo ambapo katika bajeti ya mwaka huu itanunua helikopta ya kisasa...

View Article


Namna Nmb ilivyosaidia kituo cha walimu Temeke.

Benki ya Nmb imesaidia kituo cha walimu Temeke Meneja wa kanda ya Dar es salaam ambayo imekabidhi kompyuta mbili na mashine ya kuchapia karatasi(printer) kwenye kituo cha cha walimu wilaya ya Temeke...

View Article

Picha 4 za ndege iliyopata hitilafu uwanja wa ndege Dar leo na kunyima...

Kwa mujibu wa ripota wa nguvu kwenye maelezo ambayo hayajathibitishwa na mamlaka husika, ndege hii ya shirika la ndege la Kenya ilitoka nje ya njia kidogo kwa tairi zake za nyuma kuingia kwenye majani....

View Article

Baada ya stori za Dudubaya kumkata sikio, Mama mwenyewe amejitokeza kuthibitisha

Siku mbili zilizopita stori mbalimbali kwenye mitandao zilihusu msanii wa longtime kwenye bongofleva aitwae Dudubaya kudaiwa kumkata sikia Mama yake mkubwa kwa kinachosemekana kuwa tuhuma za kichawi...

View Article

Huyu ndio mchezaji wa Chelsea aliyesema anategemea kuondoka Chelsea kabla ya...

Mshambuliaji wa Chelsea Demba Ba amefunguka na kusema maneno ambayo yanaweza kuwa mwiba kwa baadha ya wapenzi wa Chelsea. Ba amesema kwamba kuna asilimia kubwa anaweza kuondoka Chelsea mwishoni mwa...

View Article


Ulimiss kusikiliza You heard ya Leo April 11 na jana April 10 zipo hapa zote.

Kutokana na sababu za kiufundi tulishindwa kuweka jana mtu wangu wa nguvu lakini hapa nakuwekea zote ni ya jana na leo April 11 zinawahusu Tid na Nyandu Tozi ambao wanasemekana walitaka kugombana...

View Article

Kuhusu taarifa za msanii Shetta kupata ajali ya gari.

Kabla ya hii ajali Shetta alinipigia simu saa kadhaa kabla na kuniambia hii show aliyoitiwa kuna mtu alishakula hela akijifanya ni Shetta hivyo Promota amekuja kushtuka mwishoni na kumpata Shetta...

View Article


Umeshaona video mpya kutoka kwa Prezzo na jinsi model alivyoipendezesha video...

Hii ni video mpya kutoka kwa msanii Prezzo na wimbo unaitwa My Gal na video model anaitwa Vera Sidika  msichana maarufu huko Kenya kwasababu ya umbo lake. Angalia jinsi model huyu alivyoipendezesha hii...

View Article

Picha mbili mpya na sauti ya kamanda wa polisi akielezea kuhusu ajali ya...

Hapa kuna picha mbili mpya zikionyesha jinsi engine ya ndege hiyo ilivyoharibika baada ya kujigonga chini na picha nyingine inaonyesha jinsi mrango wa dharura uliotumika kwa abiria kushuka kutoka...

View Article


Kwa nyimbo za Nigeria, hii nayo ni habari ya town @yemialadee

Wakati miongoni mwa nyimbo za Wanawake zinazochezwa sana redioni kwa sasa Tanzania ni pamoja na ‘maumivu’ ya Khadija, huko Nigeria hii single ya ‘Johnny’ iliyoimbwa na Yemi Alade ndio inamiliki...

View Article

Kurasa za mwanzo na mwisho magazetini leo April 12 2014

Ni utaratibu wa millardayo.com kila siku kukupa nafasi ya kusoma kurasa za mwanzo na mwisho za magazeti mbalimbali ya Tanzania. Use Facebook to Comment on this Post The post Kurasa za mwanzo na mwisho...

View Article

Sentensi 5 za walichosema Samuel Eto’o na Davido London, pia tazama wakicheza...

Mwanzoni ilitoka video ya sekunde chache ikionyesha jinsi Davido anamfundisha Samuel Eto’o jinsi ya kucheza Skelewu lakini hii ni full interview kutoka kwenye Youtube channel ya Samuel Eto’o ambapo...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live