Jamaa mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi Kenya, huu utetezi wake ni...
Mtu mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi baada ya gari alilokuwa akisafirishia kupata ajali likiwa linatokea maeneo ya Busya kuelekea Nairobi, Polisi wakafanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo. “Bangi...
View ArticleStori za Facebook,Twitter, Instagram, Blogs February 10, 2015 ziko hapa
Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi na chochote ndio maana natumia muda wangu kukusanyia matukio mbalimbali kuanzia Ofisini,Barabarani,Mitaani mpaka kwenye Mitandao kama hii ya leo. Facebook ZITTO KABWE...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 11, 2015
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleHaya ni mapokezi ya mabingwa wa #AFCON2015 Ivory Coast nyumbani kwao…
Mabingwa wa AFCON 2015 ni Ivory Coast, dunia nzima imewatambua baada ya ushindi wao wa penati 9-8 dhidi ya wakali wa Ghana, fainali ambazo zilichezwa FEB 9 ndani ya Equatorial Guinea. Rais wa Ivory...
View ArticleNimekuwekea uchambuzi wa Habari kubwa za Magazeti ya leo Feb 11 #PowerBreakfast.
Kama hukusikiliza Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani leo February 11 kwenye Power Breakfast @CloudsFM, ukipitia hapa millardayo.com huwa yanarekodiwa na unaweza kusikiliza. Katika yaliyosikika...
View ArticleMkusanyiko wa Stori 8 zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo February...
NIPASHE Mkazi wa Ilala Sharifu Shamba, jijini Dar es Salaam, anatuhumiwa kumuua rafiki yake kisha kumfukia kwenye shimo alilochimba na kulisakafia uani kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mtuhumiwa. Mauaji...
View ArticleYote yaliyosikika kuhusu hali ya Bobbi Kristine, hii ni taarifa rasmi...
Bado kuna utata kuhusu kinaachoendelea juu ya afya ya Bobbi Kristine, mtoto wa pekee wa Marehemu Whitney Houston, mengi yanaendelea kuzungumzwa kuhusu hali yake huku wengine wakisema kuwa leo ni siku...
View ArticleIshu ya Mahakama kuzuia ujenzi wa Uwanja wa Real Madrid…
Mahakama kuu ya Madrid imezuia ujenzi wa kutanua na kuboresha uwanja wa klabu ya Real Madrid wa Santiago Bernabeu hali ambayo itachelewesha mradi wa kuongeza uwanja huo ambao tayari ulitengewa fedha...
View ArticleMfahamu ‘Handsome boy’ wa EPL.
Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud ametajwa kuwa mchezaji mwenye mvuto kuliko wote wanaocheza kwenye ligi ya England katika utafiti uliofanywa miongoni mwa mashabiki hususan wa kike nchini...
View ArticleTembo wa Ivory Coast ‘watamu’ kama Mcharo.
Mabingwa wapya wa Michuano ya kombe la mataifa ya Africa Afcon Timu ya taifa ya Ivory Coast wamezawadiwa kitita cha fedha taslimu dola za kimarekani Milioni 3.4 ikiwa ni zawadi ya kutwaa ubingwa huo...
View ArticleHizi ndio sifa nyingine kubwa ilizopewa NAIROBI mtu wangu…
Jiji la Nairobi limetajwa kuwa jiji bora kuliko miji yote barani Afrika kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na kundi la The Inteligent Community Forum. Nairobi imeorodheshwa kama moja ya majiji 21 ambayo...
View ArticleApple kampuni yenye thamani kuliko zote duniani.
Kampuni ya Apple ambayo inafahamika kwa bidhaa kama Iphone , Ipad na Ipod imekuwa kampuni ya kwanza ya kibiashara ulimwenguni kuwa na thamani ya dola bilioni 700 baada ya mauzo ya hisa zake . Mauzo...
View ArticleNimekusogezea matokeo ya Man U vs Burnley hapa
Baada ya kutoka sare ngumu dhidi ya wagonga nyundo wa London, Manchester United leo ilijitupa katika uwanja wake wa nyumbani kucheza na Burnley. Mchezo huo ambao ulizaa kwa balaa baada ya United...
View ArticleChelsea imecheza na Everton nimekuweka matokeo hapa
Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Goodson Park...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 12, 2015
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleUlipitwa na habari Hot za Magazeti yakisomwa hewani leo Feb 12? Unaweza...
Kama hukuwa karibu na Redio yako na ukashindwa kusikiliza uchambuzi wa Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM leo February 12, nimekurekodia unaweza kuyasikiliza...
View ArticleWanigeria kwenye collabo nyingine, ni video ya PRESH ft. DAVIDO- ‘Say Dem Say’
Davido ni mmoja ya wasanii wa Afrika ambao wamekubalika kwa nguvu kubwa sana na fans wa muziki, sio kwa uzuri wa ngoma za peke yake ila hata ukiangalia list ya collabo kali alizowahi kufanya na mastaa...
View ArticleAli Kiba anasemaje kuhusu kufanya kolabo na wasanii wa Afrika? stori iko hapa
Kuna time utakuwa unajiuliza maswali kuwa kuna umuhimu gani kwa wasanii wa hapa Tanzania kufanya kolabo na mastaa wa Afrika . Sasa staa wa Bongo Fleva Ali Kiba amejibu swali lako na kusema;‘Katika...
View ArticleStori 9 zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo Tanzania Februari 12,...
MWANANCHI Matukio ya wasafiri kukamatwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakiwa na nyara za Serikali na dawa za kulevya, yanazidi kuchukua sura mpya baada ya raia mmoja wa Ubelgiji...
View ArticleKizaazaa kilichosababishwa na Chaja ya iPhone Urusi…
Mwanamke mmoja huko Urusi amefariki dunia baada ya kutumia simu aina ya Iphone akiwa bafuni kwake wakati akiwa anaoga huku akiwa anapekua ukurasa wake wa mtandao wa kijamii. Kwa mujibu wa jirani wa...
View Article