Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Tembo wa Ivory Coast ‘watamu’ kama Mcharo.

$
0
0

  Mabingwa wapya wa Michuano ya kombe la mataifa ya Africa Afcon Timu ya taifa ya Ivory Coast wamezawadiwa kitita cha fedha taslimu dola za kimarekani Milioni 3.4 ikiwa ni zawadi ya kutwaa ubingwa huo ambao mara ya mwisho waliutwaa mwaka 1992 . Zawadi hiyo imemjumuisha kocha Herve Renard ambaye alipewa fedha taslimu dola 129,000...

The post Tembo wa Ivory Coast ‘watamu’ kama Mcharo. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles