Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mfahamu ‘Handsome boy’ wa EPL.

$
0
0

  Mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud ametajwa kuwa mchezaji mwenye mvuto kuliko wote wanaocheza kwenye ligi ya England katika utafiti uliofanywa miongoni mwa mashabiki hususan wa kike nchini England . Utafiti huu ulihusisha jumla ya wanawake 250 raia wa Marekani ambao waliulizwa maswali juu ya wachezaji wanaodhani wana mvuto wa kimapenzi nchini England na utafiti...

The post Mfahamu ‘Handsome boy’ wa EPL. appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles