Davido ni mmoja ya wasanii wa Afrika ambao wamekubalika kwa nguvu kubwa sana na fans wa muziki, sio kwa uzuri wa ngoma za peke yake ila hata ukiangalia list ya collabo kali alizowahi kufanya na mastaa wengine ikiwemo ‘Gallardo’ ya Run Town, ‘Shoki’ ya Kash, ‘My Number One Rmx’ ya Diamond Platnumz, ‘Daddy’ ya Reminisce, hizo ni...
The post Wanigeria kwenye collabo nyingine, ni video ya PRESH ft. DAVIDO- ‘Say Dem Say’ appeared first on TZA_MillardAyo.