Viongozi wa ligi kuu ya Uingereza klabu ya Chelsea leo ilisafiri mpaka jijini Liverpool kwenda kucheza na vijana wa Roberto Martinez – Everton. Mchezo huo uliopigwa katika dimba la Goodson Park umemalizika kwa Chelsea kuendelea kuimarisha uongozi wao wa pointi 7 baada ya kuifunga Everton 1-0. Goli pekee la Willian katika dakika ya 89 lilihakikishia...
The post Chelsea imecheza na Everton nimekuweka matokeo hapa appeared first on TZA_MillardAyo.