Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Jamaa mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi Kenya, huu utetezi wake ni story…

$
0
0

Mtu mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi baada ya gari alilokuwa akisafirishia kupata ajali likiwa linatokea maeneo ya Busya kuelekea Nairobi, Polisi wakafanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo. “Bangi sio kitu ngumu hata tumbaku ni so expensive kushinda bangi… sasa bangi ngoja nikuambie hiyo tani moja tukinunua Uganda ama Tanzania tunanunua 50 buku na tunauza 100 buku, lakini...

The post Jamaa mmoja amekamatwa akiwa anasafirisha bangi Kenya, huu utetezi wake ni story… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles