Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Mkusanyiko wa Stori 8 zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo February 11, 2015 ziko hapa

$
0
0

NIPASHE Mkazi wa Ilala Sharifu Shamba, jijini Dar es Salaam, anatuhumiwa kumuua rafiki yake kisha kumfukia kwenye shimo alilochimba na kulisakafia uani kwenye nyumba aliyokuwa akiishi mtuhumiwa. Mauaji hayo yanadaiwa kufanywa Julai, mwaka jana, baada ya mtuhumiwa kudaiwa kushindwa kumlipa rafiki yake huyo Sh. milioni 35. Inadaiwa kuwa marehemu alimpa mtuhumiwa huyo fedha hizo ili...

The post Mkusanyiko wa Stori 8 zilizopewa headlines kwenye Magazeti ya leo February 11, 2015 ziko hapa appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles