Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 9, 2015
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleYaliyojiri kwenye usiku wa darasa la biashara za mwanakondoo ya ROMA Club 71...
Usiku wa kuamkia Feb 9, mashabiki wa muziki waliweza kukutana na kushuhudia event iliyoandaliwa na ROMA Mkatoliki iliyopewa jina la ‘Darasa la biashara za mwanakondoo’ iliyofanyika kwenye ukumbi wa...
View ArticleUlipitwa na habari Hot za Magazeti yakisomwa hewani leo Feb 9? Unaweza...
Kama hukuwa karibu na Radio yako na ukashindwa kusikiliza uchambuzi wa Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa hewani kupitia Power Breakfast ya Clouds FM leo February 09, nimekurekodia unaweza kuyasikiliza...
View ArticlePale ambapo Pastor aliamua kuyakatili maisha ya mke wake mjamzito ili ampate...
Mchungaji wa kanisa Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya waumini wake. Philip ambaye tayari alianza kuwa...
View ArticleHii ni ya kichanga aliyezaliwa na kukutwa na ujauzito wa mapacha !!
Mara nyingi tumezoea kusikia matukio ya ajabu, mengine yakiingia kwenye historia na kuacha kumbukumbu zisizofutika kama hii ya mtoto aliyezaliwa China na kugundulika kuwa ni mjamzito. Mtoto huyo...
View ArticleUtafiti kuhusu watu ambao hufanya zaidi tendo la ndoa
Katika hali ya kawaida imezoeleka kuwa tendo la ndoa au mapenzi hufanywa zaidi na vijana kwa sababu miili yao imechangamka na pia ina nguvu kuliko ya watu wazima na afya ya kuhimili tendo hili lakini...
View ArticleHaya ni manufaa ya kula nanasi kila siku…
Moja kati ya matunda ambayo yanapendwa zaidi ni tunda la nanasi, linapendwa zaidi kutokana na ladha nzuri na tamu ambayo inatokana na sukari iliyoko ndani ya tunda hili ambapo inafanya tunda hili kuwa...
View ArticleWachezaji wa Man United ndani ya kashfa ya ngono.
Wachezaji kadhaa wa klabu ya Manchester United wanafanyiwa uchunguzi baada ya kuhusishwa na tukio la kutengenezwa kwa mkanda wa ngono lililofanyika ndani ya ukumbi wa starehe wa usiku . Mwanamke...
View ArticleKilichoamriwa na Halmashauri ya Manispaa ILALA kuhusu jengo la ghorofa 15 na...
Kuanguka kwa majengo marefu katikati ya Jiji la Dar es Salaam na sehemu nyingine Tanzania ni moja ya vituambavyovimetajwa kuhatarisha maisha ya watu, kitu ambacho kimesababishwa kuibuka maswali mengi...
View ArticleNimekusogezea rekodi hii ya Man United mtu wangu…
Klabu ya Manchester United imeendelea kutowaridhisha mashabiki wake baada ya mfululizo wa matokeo ambayo si mazuri ambayo timu hiyo imekuwa ikiyapata, mpaka sasa inashika nafasi ya nne kwenye msimamo...
View ArticleNimekuwekea mkusanyiko wa Habari kubwa mbili zilizoripotiwa na kituo cha...
Watuhumiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Kilimani Nairobi kwa njama ya kufanya utapeli kampuni ya PAFCO ardhi yenye thamani ya shilingi milioni 338, ambapo inadaiwa kuwa watuhumiwa hao...
View ArticleVideo 10 za Hip Hop zilizochukua nafasi Top 10 ya Trace TV Feb 9,2015.
Trace TV ya Ufaransa ni kituo kingine cha TV kinachoonekana Afrika kupitia huduma ya kulipia kikiwa na nafasi yake kwenye upande wa burudani hususani muziki wa kizazi cha sasa ambapo Feb 9 kilitoa list...
View ArticleZiko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 10, 2015
Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...
View ArticleSikiliza uchambuzi wa story kutoka Magazeti ya leo FEB10 uliofanywa...
Kama ulikuwa mbali na Speaker za Radio yako na kushindwa kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo February 10, hapa nimekuwekea sauti niliyoirekodi wakati Magazeti yakisomwa na...
View ArticleBaada ya ile ‘Kuchi Kuchi’ ya staa wa Nigeria, J’odie kaja na video mpya ya...
Star wa Nigeria aliyekaa kwenye chati kubwa Afrika na Hits Single yake ya Kuchi Kuchi, J’odie kutoka Nigeria amedondosha mzigo wa videoo mpya, hii inaitwa ‘Right Now’ . Video imefanywa ndani ya Nigeria...
View ArticleKilichoamuliwa na familia kuhusu hatma ya mtoto wa marehemu Whitney Houston
Zikiwa ni siku 10 tangu Bobbi Kristina apoteze fahamu na kuendelea kutumia mashine zinazomsaidia kupumua hadi sasa imeelezwa hali yake bado haijabadilika tangu adondoke bafuni na kukimbizwa katika...
View ArticleHapa ni Flavour kwenye video yake mpya ‘Ololufe’ Ft. Chidnma
Video mpya ya wimbo wa mkali kutoka Nigeria, Flavour inayoitwa ‘Ololufe’ imetoka na sasa mashabiki wake wanaweza kuitazama. Nakukaribisha kuitazama, amemshirikisha mwanamuziki Chidnma na video...
View ArticleAjali ya moto katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo FEBRUARY 10…
Taarifa kutoka katikati ya Jiji Dar es Salaam, hali haikuwa shwari leo asubuhi, tukio kubwa ni ajali ya moto ambao ulianza katika majengo yanayomilikiwa na Shirika la Nyumba NHC. Moto ulianza saa tatu...
View ArticleMapacha hawa wanapendana, waliona waungane pia kwenye ndoa moja…
Tumezoea kuona pacha wengi wakishare mambo wanayopenda kwa pamoja, kitu kama aina ya mavazi wanayovaa na vinginevyo, iliwahi kutokea story ya mapacha walioolewa na pacha wenzao Tanga. Kutoka Afrika...
View ArticleNi majonzi kwenye mazishi ya wanafamilia waliopata ajali ya moto Dar #RIP
Tukio ambalo lilishtua wengi mwisho wa wiki iliyopita ilikuwa ni ajali ya moto iliyotokea maeneo ya Kipunguni Dar es Salaam ambapo watu sita wa familia moja walifariki baada ya nyumba yao kuwaka moto...
View Article