Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Ajali ya moto katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo FEBRUARY 10…

$
0
0

Taarifa kutoka katikati ya Jiji Dar es Salaam, hali haikuwa shwari leo asubuhi, tukio kubwa ni ajali ya moto ambao ulianza katika majengo yanayomilikiwa na Shirika la Nyumba NHC. Moto ulianza saa tatu asubuhi mtaa wa Libya na Mosque, ambapo ulishika katika majengo matatu ya ghorofa yaliyoongozana na kuunguza vitu ambavyo thamani yake haijafamika. Vikosi...

The post Ajali ya moto katikati ya Jiji la Dar es Salaam leo FEBRUARY 10… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles