Wachezaji kadhaa wa klabu ya Manchester United wanafanyiwa uchunguzi baada ya kuhusishwa na tukio la kutengenezwa kwa mkanda wa ngono lililofanyika ndani ya ukumbi wa starehe wa usiku . Mwanamke mmoja ambaye hajatajwa amerekodiwa akiwa anafanya vitendo vinavyoshahibiana na ngono huku akiwa na mmoja kati ya wachezaji wa Manchester United ambaye si raia wa...
The post Wachezaji wa Man United ndani ya kashfa ya ngono. appeared first on TZA_MillardAyo.