Mchungaji wa kanisa Toronto, Canada aliamua kumuua mke wake ambaye ni mjamzito wa miezi mitano ili aweze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya waumini wake. Philip ambaye tayari alianza kuwa na uhusiano na muumini huyo huku mke wake Anne Karissa akiwa anajua kinachoendelea kati yao, lakini aliamua kumsamehe. Pamoja na upendo wa mke wake...
The post Pale ambapo Pastor aliamua kuyakatili maisha ya mke wake mjamzito ili ampate muumini wake appeared first on TZA_MillardAyo.