Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Sikiliza uchambuzi wa story kutoka Magazeti ya leo FEB10 uliofanywa #PowerBreakfast CloudsFM

$
0
0

Kama ulikuwa mbali na Speaker za Radio yako na kushindwa kusikiliza kilichoandikwa kwenye Magazeti mbalimbali ya leo February 10, hapa nimekuwekea sauti niliyoirekodi wakati Magazeti yakisomwa na kuchambuliwa kutoka kwenye kipindi cha Power Breakfast @CloudsFM. Miongoni mwa taarifa zilizoko kwenye Magazeti ya leo ni pamoja na wafanyakazi wa mamlaka ya Reli wapanga kufungua kesi ili kulipwa...

The post Sikiliza uchambuzi wa story kutoka Magazeti ya leo FEB10 uliofanywa #PowerBreakfast CloudsFM appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461