Quantcast
Channel: Millard Ayo
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live

Taarifa kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa Magari kutoka Tanzania kuingia mbugani,...

Mvutano katika ishu ya utalii  imeendelea kuingia kwenye headlines kubwa leo, vyombo vya habari Kenya vimeripoti ishu ya Serikali ya Kenya kupiga marufuku magari ya kitalii kutoka Tanzania kuingiza...

View Article


Vanessa Mdee na Barnaba wamekutana tena, hizi ni picha za utengenezaji wa...

Vanessa Mdee na Barnaba Elias Feb 6, waliingia location kumalizia utengenezaji wa video mpya ya single yao iitwayo Siri, video hiyo imeongozwa na Hanscana kwenye kijiji cha Makumbusho Dar es Salaam....

View Article


Alichokijibu Mbunge Mbatia kuhusu ishu ya kusema kuwa Mrema ni mgonjwa…

Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema (TLP) alitoa hoja binafsi Bungeni kwamba Mbunge James Mbatia amekuwa akipita Jimbo la Vunjo na kuwaambia wapigakura wasimchague Mrema kwa sababu ni mgonjwa. “Napenda...

View Article

Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 7, 2015

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Hizi ni STORI kubwa SABA kutoka kwenye kurasa za MAGAZETI ya leo FEB7 T’zania

MWANANCHI Gazeti la Mwananchi limethibitisha kuwa Rais Kikwete alianza kuongoza nchi mwaka 2005 kwa kuteua jumla ya mawaziri na manaibu 60, anaondoka akiwa ameteua jumla ya watu 118 kushika nyadhifa...

View Article


Hofu ya kuachwa imesababisha amfanyie ukatili huu kwa mpenzi wake…

Inapotokea hali ya kutoelewana katika uhusiano ni mara chache sana wote wawili kukubali kwamba uhusiano huo ufike mwisho, lakini mara nyingi mmoja yao huwa hakubaliani kirahisi na uamuzi huo. Mwanamke...

View Article

Mambo saba aliyoyazungumza Mrisho Mpoto kwenye Mboni Show… (Sauti)

Siku ya jana February 06 kwenye Mboni Show alikuwepo Mrisho Mpoto, amepiga story na audience kuhusu vitu vingi, ikiwemo family yake, siasa na uchaguzi 2015, kilichomkuta baada ya kusikika anataka...

View Article

Arsenal yafungwa na Tottenham kwenye EPL.

  Tottenham Hotspurs wamefanikiwa kuwafunga Arsenal katika mchezo wa ligi kuu ya England uliopigwa hii leo (Jumamosi) kwenye uwanja wa White Hart Lane ukiwa mchezo wa kwanza wa ligi hiyo kwa ratiba ya...

View Article


Hili ndio balaa lilowakuta Real Madrid kutoka kwa Atletico

Baada ya kushindwa kupata ushindi katika mechi 5 mfululizo dhidi ya wapinzani wao wa jadi kabisa – Real Madrid leo walivuka kutoka upande mmoja wa mji wa Madrid na kwenda mpaka katika dimba la Vicente...

View Article


Chelsea vs Aston Villa – matokeo nimekuwekea hapa

Baada ya kucheza dakika takribani 660 kufunga goli katika ligi kuu ya England, hatimaye leo hii Aston Villa wameweza kuona nyavu katika mchezo wao dhidi ya viongozi wa ligi hiyo Chelsea. Mchezo huo...

View Article

Ziko hapa kurasa za mwanzo na mwisho za Magazeti ya leo February 8, 2015

Kama kawaida millardayo.com inakupa vichwa vya habari vya magazeti yote ya kila siku. Leo pia kuna headline mpya kwenye magazeti mbalimbali. Chukua muda wako kupitia kila kilichoandikwa kwenye kurasa...

View Article

Pichaz za MASTAA kwenye party ya Utangulizi wa Tuzo za Grammy iliyoandaliwa...

Siku ya jana mastaa kadhaa walikutana kwenye party ambayo ilikuwa na chakula cha mchana pamoja na cocktails maeneo ya Beverly Hills Marekani, ambapo hii ilikuwa party ya utangulizi wa sherehe za tuzo...

View Article

Kilivyo happen kwenye Tamasha la Nyama choma Festival jana Feb 7 (pichaz)

Ni kijiwe kingine kabisa ambacho kinawakutanisha watu wa nguvu kwenye mikoa mbalimbali Tanzania, hapa inaliwa nyama choma, marafiki wanakutana na kuenjoy good music pembeni, michezo ya watoto, burudani...

View Article


Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video #Vuvula na #Kaunyaka Escape 1 Dar es Salaam

Usiku wa Feb7, Madee, Chege na Temba wamezindua video mpya za single zao ziitwazo ‘Vuvula’ & ‘Kaunyaka‘, video hizo mbili zimeongozwa na Adam Juma. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ufukwe wa Bahari...

View Article

Kuna hii hukumu aliyopewa jamaa kwa kosa la kula nyama ya chatu !!

Moja ya aina ya story zinazovutia watu wengi ni pamoja na story ambazo zina matukio ya ajabu ama matukio ambayo yako tofauti na watu walivyozoea. Kutoka Zimbabwe kulikuwa na story ambayo ilikaa kwenye...

View Article


Tafiti zimesema haya ndio MAJIJI salama zaidi duniani kwa kuishi… (PICHAZ)

Kila mtu anapenda kuwa mahali penye ulinzi na usalama wa uhakika, kama ndio hivyo basi moja ya sifa ambayo tunatakiwa kuiangalia sana mahali tunapoishi ni ishu ya usalama wa uhakika. Katika moja ya...

View Article

Matokeo ya leo FEB 8 yaipeleka YANGA kileleni mwa Ligi Kuu T’zania Bara…

Ligi kuu ya soka Tanzania bara imeendelea hii leo kwa mchezo mmoja uliopigwa kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam ukiwakutanisha wenyeji Yanga na Mtibwa Sugar kutoka Morogoro. Katika mchezo huo...

View Article


Alijigundua kwamba anapenda sana kutumia Internet, akaamua kujifanyia ukatili...

Matumizi ya mitandao ya kijamii kama Facebook, Twitter, Instagram ni kitu ambacho kimeshika chati sana kwa sasa duniani, vijana wameonekana kuwa waathirika wakubwa wa matumizi ya mitandao hii. Kijana...

View Article

Pale ambapo mtoto mwenye ulemavu wa miguu aliporudisha matumaini kwa familia...

Mtoto wa miaka minne ambae alikuwa kwenye hali mbaya baada ya kupata ajali  ya gari iliyopelekea kupoteza miguu yake yote miwili mwaka 2013 huenda familia ikasahau hata mzigo mkubwa wa deni la matibabu...

View Article

Ivory Coast Bingwa Afcon 2015.

Timu ya taifa ya Ivory Coast imefanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano ya kombe la mataifa ya Afrika baada ya kuifunga Ghana kwa mikwaju ya penati . Timu hizo mbili zilimaliza muda wa kawaida wa dakika 90...

View Article
Browsing all 31461 articles
Browse latest View live