Siku ya jana February 06 kwenye Mboni Show alikuwepo Mrisho Mpoto, amepiga story na audience kuhusu vitu vingi, ikiwemo family yake, siasa na uchaguzi 2015, kilichomkuta baada ya kusikika anataka kugombea Ubunge na namna anavyomzungumzia Rais Kikwete. Alianza kuzungumzia kuhusu familia yake; “Nina watoto wawili.. huyo mmoja ndio mtata hata simuelewi anafanya nini.. huyo mdogo...
The post Mambo saba aliyoyazungumza Mrisho Mpoto kwenye Mboni Show… (Sauti) appeared first on TZA_MillardAyo.