MWANANCHI Gazeti la Mwananchi limethibitisha kuwa Rais Kikwete alianza kuongoza nchi mwaka 2005 kwa kuteua jumla ya mawaziri na manaibu 60, anaondoka akiwa ameteua jumla ya watu 118 kushika nyadhifa hizo kwa mabadiliko ambayo yamefanywa jumla mara tatu. Rais Kikwete alitangaza baraza lake la kwanza kwa kuteua mawaziri 29 na manaibu 31, idadi ambayo ilikuwa...
The post Hizi ni STORI kubwa SABA kutoka kwenye kurasa za MAGAZETI ya leo FEB7 T’zania appeared first on TZA_MillardAyo.