Siku ya jana mastaa kadhaa walikutana kwenye party ambayo ilikuwa na chakula cha mchana pamoja na cocktails maeneo ya Beverly Hills Marekani, ambapo hii ilikuwa party ya utangulizi wa sherehe za tuzo za Grammy zitakazofanyika usiku leo February 8, katika ukumbi wa Staples Centre, Los Angeles Marekani. Party iliandaliwa na Kampuni ya Jay Z, Roc...
The post Pichaz za MASTAA kwenye party ya Utangulizi wa Tuzo za Grammy iliyoandaliwa na Jay Z… appeared first on TZA_MillardAyo.