Mvutano katika ishu ya utalii imeendelea kuingia kwenye headlines kubwa leo, vyombo vya habari Kenya vimeripoti ishu ya Serikali ya Kenya kupiga marufuku magari ya kitalii kutoka Tanzania kuingiza watalii katika mbuga za wanyama na viwanja vya ndege vya nchi hiyo. Waziri wa Masuala ya Jumuia ya Afrika na Utalii nchini humo, Phyllis Kandie ametangaza kutekelezwa...
The post Taarifa kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa Magari kutoka Tanzania kuingia mbugani, viwanja vya ndege appeared first on TZA_MillardAyo.