Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Shakira ameonyesha picha za mtoto wake aliyejifungua…

$
0
0

Ni mara chache kwa mastaa wa kike wa muziki Marekani kuona wakiweka picha za watoto wao mara baada ya kutoka kujifungua. Imewachukua muda mrefu mastaa kama Kim Kardashian, Beyonce, Kelly Rowland na wengine kuonyesha watoto wao wakiwa bado wachanga lakini kwa Shakira na mume wake Gerard Pique imekuwa tofauti kwani ni wiki moja tungu wapate...

The post Shakira ameonyesha picha za mtoto wake aliyejifungua… appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles