Mtoto wa miaka minne ambae alikuwa kwenye hali mbaya baada ya kupata ajali ya gari iliyopelekea kupoteza miguu yake yote miwili mwaka 2013 huenda familia ikasahau hata mzigo mkubwa wa deni la matibabu anayopatiwa katika Hospitali moja China kutokana na hiki alichokifanya. Ukimuona hali yake inahuzunisha, lakini manesi, madaktari na ndugu walijikuta wakipata faraja ya...
The post Pale ambapo mtoto mwenye ulemavu wa miguu aliporudisha matumaini kwa familia yake !! (VIDEO) appeared first on TZA_MillardAyo.