Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video #Vuvula na #Kaunyaka Escape 1 Dar es Salaam

$
0
0

Usiku wa Feb7, Madee, Chege na Temba wamezindua video mpya za single zao ziitwazo ‘Vuvula’ & ‘Kaunyaka‘, video hizo mbili zimeongozwa na Adam Juma. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ufukwe wa Bahari ya hindi, Escape 1 Dar es Salaam. Wasanii waliotoa burudani ya nguvu kwenye uzinduzi huo akiwemo Barnaba, Vanessa Mdee, Julio, Shaa, Dogo Janja, Raymond kutoka Tip...

The post Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video #Vuvula na #Kaunyaka Escape 1 Dar es Salaam appeared first on TZA_MillardAyo.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Latest Images

Trending Articles