Khloe Kardashian afika hadi Africa kwa ajili ya mapenzi.
Mitandao mingi ya udaku wamekuwa wakiripoti mapenzi mapya kati ya rapper wa Bad Boys record “French Montana” na “Khloe Kardashian” ambaye ni mdogo wake Kim Kardashian. Khloe alikuwa ni mke wa mcheza...
View ArticleCheki picha 15 za party ya Chris Brown akisherekea kutoka jela
Chris Brown ametoka jela na kuungana na watu wake wa karibu wakiwemo mama yake na girlfriend wake. Hizi ni picha za kwanza kabisa kumuonyesha Chris Brown tangu atoke jela. Ukiangalia kwa makini picha...
View ArticleNa hii ndiyo picha maarufu hivi sasa ya Lupita Nyong’o
Mshindi wa tuzo ya Oscar na star mpya wa movie ya star wars amepigwa picha akiwa beach na picha hiyo kama kawaida ya internet inasambaa kwa kasi kubwa. Use Facebook to Comment on this Post The post Na...
View ArticleMagazeti ya leo June 07 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa...
View ArticleMambo 6 kutoka hapa Durban South Africa kuhusu Diamond Platnumz na tuzo za MTV
Wote mpaka sasa tunafahamu toka siku nyingi kwamba Diamond Platnumz ni mwimbaji pekee kutoka Tanzania aliechaguliwa kuwania tuzo kwenye tuzo za MTV BASE ambazo zinatolewa leo June 7 2014 hapa Durban...
View ArticlePicha za harusi ya Producer Lucci wa bongofleva
Producer Lucci wa studio za Transformax ameuaga rasmi ukapera baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Lisa Tsere ambae Mungu tayari aliwajalia mtoto wa kiume na hivi sasa ni mume na mke wa halali kutoka...
View ArticlePicha 10 za mwisho za Diamond kabla ya utoaji tuzo za MTV kuanza.
Mpaka sasa zaidi ya asilimia 90 ya maandalizi yote yamekamilika na kinachosubiriwa sasa hivi ni muda wa kujua washindi wa vipengele mbalimbali wanavyoshindanishwa kupitia MTV Africa Music Award ‘MAMA’...
View ArticleWale wa Instagram @divathebawse kawaletea hii kwa ajili yenu.
Mara nyingi tumekua tukifahamiana kupitia picha mbalimbali kwenye instagram,ukaribu tunaoutengeneza kwa kulike au hata ku comment kwenye picha ya mtu ambaye unaona pengine kakuvutia picha yake. Sasa...
View ArticlePicha 14 za redcarpet ya MTV Awards,Diamond na Wema backstage na muonekano wa...
Hapa kuna picha 14 za red carpet ambapo Wema na Diamond walipota pamoja. Utaweza kuona picha za backstage na muonekano wa stage ya show ya leo. Zaidi ya hapo kuna picha za Trey Songs,Davido,French...
View ArticleMatokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards
Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya...
View ArticleEnjoy new music kutokwa Pharrell ft Jay Z – Frontin (Disclosure Remix )
Hawa ni marafiki wa karibu sana na wamewahi kufanya nyimbo nyingi pamoja lakini hivi sasa imetoka disclosure remix ya wimbo wa Frontin ambao ulitoka kitambo kidogo. Enjoy kusikiliza kitu kipya...
View ArticleAngalia video nyingine kali kutoka kwa Tyga wa Young Money
Wimbo wa video hii unaitwa Hookah amemshirikisha Young Thug. Enjoy kuucheki hapa. Use Facebook to Comment on this Post The post Angalia video nyingine kali kutoka kwa Tyga wa Young Money appeared first...
View ArticleMagazetini Jumapili ya leo June 08 2014
Ni utaratibu wa millardayo.com kukupatia stori kubwa za Magazeti ya Tanzania kila siku kabla ya saa mbili kamili asubuhi kutoka kwenye kurasa za kila gazeti kuanzia ya Udaku, Michezo na hardnews kurasa...
View ArticleNeno la kwanza la Diamond Platnumz baada ya kutofanikiwa kuchukua tuzo za MTV...
Macho na masikio ya Watanzania wengi kwa siku ya Jumamosi June 07 yote yalielekezwa Durban Afrika Kusini sehemu ambako zilikua zikitolewa tuzo za wateule wa MTV Afrika Music Award ‘MAMA’. Furaha...
View ArticleHizi ni taarifa za awali kuhusu kifo cha Mzee Small
Mzee Small ni miongoni mwa waigizaji wakongwe nchini ambao kupitia kazi yake ya sanaa ya maigizo ndani na nje ya Tanzania tulimtambua usiku wa June 07 zilianza kusambaa taarifa za kifo chake. Ingawa...
View ArticlePicha za kwanza za msiba wa Mzee Small na sauti ya chanzo cha kifo pamoja na...
Msanii Mzee Small ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8/6/2014. Hizi ni picha kutoka kwenye msiba na sauti kutoka kwa mwanae aliyekuwa naye...
View ArticlePicha 12 kutoka nyumbani kwa Mzee Small mchana June 08.
Kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Small Tabata Kimanga taratibu za mazishi mpaka sasa familia imepanga mazishi yatafanyika kwenye makaburi ya Segerea kesho saa 10 jioni. Mahmood mtoto wa nne wa...
View ArticleBiashara mpya ya David Beckham, kufungua mlolongo wa migahawa.
Nyota wa zamani wa soka duniani David Beckham ambaye pia anatarajia kujenga uwanja wa mpira utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watu elfu 25 huko Miami, sasa amekuja na biashara mpya atakayoipa jina la...
View ArticleBaada ya kukumbwa na kashfa ya ubaguzi, Justin Bieber amrudia Mungu na...
Katika harakati za kujirudisha kwa jamii yake na kuomba msaada wa Mungu tangu akumbwe na kashfa ya kutoa maneno ya kibaguzi, Nyota wa muziki mwenye makazi yake nchini Marekani Justin Bieber amechukua...
View ArticleJennifer Lopez ajitoa kufanya onyesho katika ufunguzi kombe la Dunia.
Mwanamuziki Jennifer Lopez ambaye alitakiwa kuimba wimbo maalum katika sherehe za ufunguzi wa mashindano ya mwaka huu ya kombe la dunia nchini Brazil amejitoa kufanya onyesho hilo. Kwa mujibu wa...
View Article