Quantcast
Channel: Millard Ayo
Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Picha 12 kutoka nyumbani kwa Mzee Small mchana June 08.

$
0
0

Kutoka nyumbani kwa marehemu Mzee Small Tabata Kimanga taratibu za mazishi mpaka sasa familia imepanga mazishi yatafanyika kwenye makaburi ya Segerea kesho saa 10 jioni. Mahmood mtoto wa nne wa Maraehemu Mzee Small amesema kuwa kesho wanategemea mwili kuuleta nyumbani kisha taratibu zote zitafanyika nyumbani ikiwepo dua ya kumuombea,chanzo cha kifo ni baada ya citiscan...

The post Picha 12 kutoka nyumbani kwa Mzee Small mchana June 08. appeared first on TZA.


Viewing all articles
Browse latest Browse all 31461

Trending Articles