Msanii Mzee Small ambaye alikuwa anasumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu amefariki dunia usiku wa kuamkia tarehe 8/6/2014. Hizi ni picha kutoka kwenye msiba na sauti kutoka kwa mwanae aliyekuwa naye hospitali wakati mauti yalipomkuta Mzee Small. Hii ni jinsi mauti yalivyomkuta mzee Small. Na hii ni ratiba ya msiba Ukitaka kufika nyumbani kwa Mzee...
The post Picha za kwanza za msiba wa Mzee Small na sauti ya chanzo cha kifo pamoja na ratiba ya msiba appeared first on TZA.